Kukodisha na Upangaji

CAWLS inaweza kusaidia katika matatizo ya kukodisha nyumba yako. Tunaweza kusaidia wanawake wanaoishi katika nyumba za Makazi Mkoa, wanawake walioko kwenye nyumba za binafsi za kukodisha, na wanawake wanaoishi katika nyumba za nje ya pori.Tunaweza kusaidia na mambo kama:

  • Kufukuzwa
  • Matengenezo na ukarabati – kufanya matengenezo, kukarabati na matengenezo ya bili
  • Kurudishiwa hera ya ulinzi uliyotoa
  • Kupangiwa nyumba na kusubiria kwenye listi
  • Malalamiko kwa Nyumba za Mkoa au mawakala wa majumba
  • Kumaliza mkataba
  • Haki zako kama mpangaji

 

Huduma ya Jamii ya Sheria ya Darwin ina baadhi ya machapisho kuhusu kupanga.  Hapa ni sehemu nzuri za kuanza kujifunza kuhusu matatizo yako, na kitu unachoweza kukifanya:

 

Unaweza kupata machapisho yote kwenye tovuti ya Huduma ya Jamii ya Sheria ya Darwin http://www.dcls.org.au

Au unaweza kupiga 1800 684 055 ili kupata miadi ya kuongea na mwanasheria wa Huduma ya Sheria ya Wanawake ya Australia ya Kati au pigiaHuduma ya Sheria ya Jamii ya Darwin  Huduma ya Ushauri kwa Wapangaji  ( iko Darwin) on 1800 812 953.

Swahili
Language
Audio
Play
Play
Play
Play
CAWLS thanks the Law Society Public Purposes Trust for supporting the language translations on this site.