Karibu – Tunatoa ushauri wa kisheria bure kwa wanawake wote wa Australia ya kati

Tunaweza kukusaidia kwa habari kuhusu masuala ya kisheria, ushauri wa kisheria na uwakilishi, rufaa kwa huduma za kusaidia, elimu ya jamii ya kisheria na marekebisho ya sheria ya utetezi.

Umakini zaidi hutolewa kwa wanawake ambao wameathirika na ukatili wa majumbani, wanaoishi katika jamii ya kijijini au kushindwa kumudu kupata huduma nyingine za kisheria

Kama ungependa kuzungumza na mwanasheria, wasiliana nasi kwa kufanya miadi. Simu ya bure 1800 684 055 kutoka 2.30asubuhi – 11.00jioni Jumatatu – Ijumaa

au barua pepe: enquiries@cawls.org.au

Swahili
Language
Audio
Play
Play
Play
Play
The Central Australian Women’s Legal Service Thank the 'Law Society Public Purposes Trust' for Supporting the Language Translations on this Site